Jinsi ya kuongeza RAM kwenye laptop.
Jinsi ya kuongeza RAM kwenye laptop. Moja ya mambo yanayokatisha tamaa zaidi katika matumizi ya kompyuta ni pale kifaa chako kinapoanza “kuganda” au kuwa kizito (slow). Unafungua kurasa mbili tatu za ‘browser’, kisha unafungua ‘Word’ au ‘Excel’, na ghafla kila kitu kinakwama. Mara nyingi, mzizi wa tatizo hili si ‘processor’ au diski (hard drive) pekee, bali…